... helping you be all that God made you to be, because He plans on shining His light into this world through you.

Berni - ceo, Christianityworks

Utamaduni wa Kufuta

We're glad you like it!

Enjoying the content? You can save this to your favourites by logging in to your account.

Register or Login

Add to Favourites

Mathayo 4:17 Tokea wakati huo Yesu alianza kuhubiri, na kusema, Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia.

Listen to the radio broadcast of

Utamaduni wa Kufuta


Download audio file

Mini ninadhani kwamba kichekesho kizuri kuliko vyote ni kile kinachokuchekesha, lakini kinasababisha utafakari pia.  Kichekesho kinacholenga hali halisi ya mambo hata kukutikisa kabisa.

Niliona ucheshi wa namna hiyo siku hizi kwenye mtandao.  Ilikuwa mchoro wa Yesu akihubiri mkutano mkubwa wa watu na chini iliandikwa mstari huu:

Mathayo 4:17  Tokea wakati huo Yesu alianza kuhubiri, na kusema, Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia.

Halafu kwenye umati huo kulikuwa mmoja akimwambia mwenzake: Kwa nini akiwa Mwana wa Mungu, hawezi kuchukuana angalau na tabia za watu?

Staha ya mambo yote, mitazamo yote, misimamo yote, ufisadi wote, upotovu wote, kila aina ya kiburi, yaani staha ya kila kitu … imekuwa kilio cha kizazi hiki.  Sasa utamaduni wa kufuta kila wazo ambalo hukubaliana nalo hauna huruma ukitafuta kufuta wazo linalolenga na kupinga uovu wenyewe.  Sasa wao wenyewe wameshindwa kuchukuana na watu ambao wanamtazamo tofauti kuhusu swala la uovu.

Kwa hiyo, tangazo la Kristo kusema “Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia.”  itaonekana kwao kwamba imekosa kuvumiliana.  Ufalme anaotaja Yesu hapa ni utawala wa Mwenyezi Mungu juu ya ulimwengu huu;  yule ambaye Yesu anasema kwamba atahukumu walio hai pamoja na wafu, hakimu atakayetuma wasioamini Mwanae kukaa Jehanamu milele daima mbali na Kristo.

Lakini pamoja na kejeli zote kuna wengine wanayatilia maanani maneno yake Yesu na onyo lake:

Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia.  

Hili ndilo Neno la Mungu safi na lenye afya kwa ajili yako leo.